top of page

In Swahili.

Mambo! wa Swahili, Karibu katika kulasa yetu ya "Paparazzi" ama "Gossip" ujipatie Story zinazo trend mitandaoni kama vile Instagram,  YouTube na Twitter. 

Katika kulasa hii tunajitahidi kukusanyia Habari tokea vyanzo mbali mbali ili tu, tuwapatie taarifa zilizo sahihi kwa wafuasi wetu, kwahiyo tunapata taarifa tokea mitandao ya kijamii ya wahusika na channels tofauti za waswahili au pia tunausisha vyanzo vingine vikubwa kwa uakika zaidi.

Wed 14th June, 2018

officiallyyn Simjui ZARI wala HAMISAMOBETTO ,GIGIMONEY mimi siyo Type yangu

Hiyo ni title iliyo onekana Leo ktk Youtube channel ya "Wasafi media" na katika maojiano kati ya Officiallyyn na media hiyo @official amewaza kufunguka juu ya mahusiano yake na Gigi Money ikiashiria sio mazuri kabisa na pia akaweza kusema yeye sio Type yake "Gigi" baada ya wawili hao kulushiana maneno wakiwa viwanja kwenye video iliyosambaa ktk mtandao wa IG ama instagram. 

Pia dada huyo aka chomoa juu yaku washauli "Zari the Boss Lady" na "Hamisa Mobetto" juu ya the trending story ya mahusiano yao na "Diamond Platnumz"........................................

story nzima utaipata hapa

  • Grey YouTube Icon

Unaweza kumpata @officallyn IG kwenye icon iyo ya IG

  • Instagram - Grey Circle
bottom of page